Nyimbo mbili za Diamond Platnamz ni miongoni mwa nyimbo zaidi ya 10 zilizopigwa marufuku kupigwa katika radio nchini Tanzania. Nyimbo kadha za wanamuziki Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki, Jux na Barnaba ...
Mkuu wa bodi ya udhibiti wa maudhui ya filamu nchini Kenya (KFCB) Dkt Ezekiel Mutua amezuwia kuchezwa kwa nyimbo za Rayvanny 'Tetema' na ' 'Wamlambez' kwenye mikusanyiko ya burudani. Kupitia taarifa ...