Kenyatta alikuwa na umri wa miaka 51 wakati walipoingia mamlakani, huku Ruto akiwa na umri wa miaka 47. Mwanasiasa waliyemshinda, Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga, alikuwa na umri wa miaka 68 ...
Rais anayeondoka madarakani nchini Kenya Uhuru Kenyatta amempatia kongole rais mteule William Ruto kwa mara ya kwanza. Chanzo cha picha, Reuters Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila ...