Makala ya muziki ijumaa wiki hii tunamuangazia masanii anayejulikana kwa jina la Afande Romeo toka nchini Burundi. Ungana naye Ali Bilali ili ufahamu safari ya kimuziki kwa msanii huyo.