KUKOSOA juhudi za kuwawezesha watoto wa kike kwa madai kuwa zinalenga kufanya mapinduzi ya kufanikisha wanawake kutawala wanaume kunaanza kusikika. Ni maoni yanayosikika miongoni mwa wanaopinga haraka ...