Waliofuatia ni Emily Adolf (1995), Shose Sinare (1996), Saida Kessy (1997), Basilla Mwanukuzi (1998) na Hoyce Temu (1999) ...
Brian Deacon ni jina la mwigizaji maarufu wa Uingereza aliyecheza kama Yesu Kristo katika filamu ya 'Jesus' (1979), ...
Amejinasua, ndilo neno unaweza kulitumia kuelezea namna mkazi wa Msata Bagamoyo Mkoa wa Pwani, Hamis Luvumbagu alivyoepuka ...
Serikali imetangaza nafasi 2,611 za ajira Februari 10, 2025 huku kati ya nafasi hizo asilimia 98 ni za walimu wa kada ...
Naibu Spika wa Bunge, Musa Zungu ameitaka Serikali kufuatilia malalamiko ya vikundi vinavyoomba mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu kuwa hawatendewi haki na baadhi ...
Mwili wa Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Nicodemus Banduka (80) ambaye utazikwa leo Jumatano Februari 12, 2025 katika makaburi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika ...
Wiki iliyopita, Zanzibar iliadhimisha Siku ya Sheria, kama ilivyofanyika Tanzania Bara na katika mataifa mengi duniani.
Mpendwa Donie, Kwanza nikusalimu na kukupa kongole kwa kuukwaa unene uzeeni. Hivi, kweli jioni huwa unakumbuka yale uliyosema ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 26, 2025, kuwasomea hoja za awali (PH) Sophia Mwenda (64) ...
Mradi huo ukikamilika utawanufaisha wananchi wa kijiji cha Gwata (Kibaha), Mwetemo (Chalinze), Mkupuka (Kibiti) na Mbwara ...
Wanafunzi 21 wanaosoma kidato cha tano na sita Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission iliyopo wilayani Chamwino Mkoa wa Dodoma ...
Hali hii pia imetajwa kuchelewesha ujumuishaji wa kifedha na matumizi ya malipo ya kidigitali, huku Serikali ikiendelea ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果