Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Chacha Wambura, amehoji Bungeni hatua zilizofikiwa na Serikali katika kuendeleza na kukamilisha ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Manispaa ya Geita ulioanza kujengw ...
Taasisi za umma na binafsi 9,000 nchini zimejisajili kwenye Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ...
TANZANIA ikitarajia kuwa mwenyeji wa fainali zijazo za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027), inakabiliwa na tatizo la kipa, kutokana na aliyekuwa mlinda mlango chaguo la kwanza wa Timu ya Taifa (Ta ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, ...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge leo, Januari 28, 2026 wakati wa hafla ya kuwatambulisha wakandarasi wa kampuni ya ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, amewasilisha wito rasmi kwa Tanzania kufungua ubalozi wake Vatican, hatua ...
TAASISI ya Standing Voice imewafikia watu wenye ualbino wilayani Kahama mkoani Shinyanga na kuwapatia msaada wa mafuta kinga ...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ameteuliwa kuwa miongoni mwa ...
Rais mteule wa Uganda, Yoweri Museveni, amewasilisha ombi katika Mahakama Kuu ya Uganda akiitaka itupilie mbali pingamizi ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limekanusha vikali taarifa zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini, zikiambatana na picha mjongeo (video), zilizodai kuwa kuna Askari Polisi wa mkoa huo ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi, inatarajiwa kusikiliza kesi ya pingamizi la awali lililowasilishwa na Serikali, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果