Ecua tangu atue JS Kabylie kipindi cha usajili wa dirisha dogo msimu huu uliofungwa Januari 2026 hapa nchini amefanikiwa ...
KOCHA wa KMC, Abdallah Mohamed 'Baresi', baada ya kupata ushindi wa kwanza na timu hiyo tangu ajiunge nayo, Desemba 30, 2025, akichukua nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, amesema malengo ...
Hakuna siri kwamba, kinachoiponza Simba ni kama kile kilichoiponza Yanga misimu minne mfululizo nyuma, kujilinganisha na wapinzani wao. Yanga ilikuwa ikipima mafanikio kwa kutaka kujilinganisha na ...
IJUMAA hii, kuna mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinapigwa zikikutanisha timu ambazo hazina matokeo mazuri ziliposhuka dimbani hivi karibuni, hivyo zinatumia kujirekebisha ili kupanda kutoka ...
MABOSI wa Fountain Gate wamefikia uamuzi wa kuhamishia mechi zote za nyumbani za timu hiyo za Ligi Kuu na mashindano ya ndani ...
STAA wa Inter Miami ya Marekani, Lionel Messi yupo katika mazungumzo na klabu yake ya utotoni, Newell’s Old Boys, ambayo ...
MAISHA yamezidi kuwa magumu kwa staa na kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba ambaye, amepata pigo jingine baada ...
JINA jingine limeanza kuwa gumzo katika kufumania nyavu kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara ambalo ni mshambuliaji Edgar William wa ...
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) linaweza kuwa na uwezo wa kuiondolea Marekani haki ya kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia ...
KIUNGO wa Simba, Neo Maema, amefichua kwamba, baada ya kumalizika msimu huu, ana machaguo mawili anayosikilizia ambayo ni ...
STAA wa Real Madrid, Jude Bellingham ametoa ujumbe wa maneno matatu kuhusu maendeleo ya jeraha lake la msuli wa nyuma ya paja ...
USHINDI wa Tyla, 24, katika tuzo za Grammy, kwa mara nyingine umegeuka mwiba kwa mashabiki wa tasnia ya muziki huko Nigeria ...