Siku ya Jumatatu, Novemba 3, Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai imeonya kwamba ukatili unaofanywa huko El-Fasher "unaweza kuwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ...