Ofisi ya kamishna mkuu wa haki za binadamu inaishutumu moja kwa moja M23 kwa kuwakamata watu wasiopungua 130 katika hospitali ...
DR Congo kuna bati, tantalum, tungsten (3T) na coltan, pia nchi nchi hiyo ina takriban 70% ya hifadhi ya cobalt duniani, nyingi ikiwa mashariki. Vilevile taifa hilo la Afrika ya kati lina akiba kubwa ...
Jeshi la Uganda limethibitisha siku ya JumapiliMAchi 2, 2025 kwamba limetuma wanajeshi katika mji mwingine wa kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kupambana na makundi yenye ...