TANGU ametoa wimbo wake wa kwanza Maua Sama alijipambanua kama mwimbaji mkali hasa wa RnB na imekuwa hivyo kwa kipindi chote cha miaka zaidi ya 10 ambayo amekuwepo masikioni mwetu kupitia nyimbo zake.
Dar es Salaam. Siku saba baada ya kuachia wimbo wake mpya uitwao 'Niteke' mwanamuziki nchini Tanzania, Maua Sama amefunguka kuwa familia yake ilikataa asifanye muziki tena. Maua ambaye amewahi kutamba ...
Maua Septemba 17, 2018 alishikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kosa la huharibifu wa mali kwa kurusha pesa kisha watu kuonekana kuzikanyagakanya katika video ya wimbo wake wa iokote Dar es ...
Dar es Salaam. Mwanamuziki anayetamba na wimbo ‘Iokote’ Maua Sama na mtangazaji wa kipindi cha Shilawadu, Soudy Brown wameendelea kusota rumande tangu walipokamatwa Septemba 16, 2018. Wasanii hao ...