Ndege zinazobeba kichocheo cha mirungi au miraa zimezuiwa kuingia nchini Somalia, na kuwaacha watafunaji wa majani hayo katika kitoweo, wanaeleza waandishi wa BBC Mary Harper na Bella Hassan. Kwa ...
Ibada rasmi ya kitaifa ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga, imefanyika jijini Nairobi. Viongozi na raia ...
Rais William Ruto ameliongoza taifa la Kenya kumpa heshima za mwisho hayati Raila Amollo Odinga katika uwanja wa Nyayo jijini ...
Kifo cha Raila kimesababisha raia wengi kujitokeza mitaani kuandamana, kama njia ya kumuenzi, huku maswali yakiibuka kuhusu jinsi siasa za Kenya zitakavyokuwa bila Odinga kuwepo. Misa ya kitaifa ya ...
WATAALAMU wa wanyamapori wameonya kuhusu nyoka aina ya ‘Red Spitting Cobra’ (swila mwekundu) wanaotema sumu, na kuripotiwa kusababisha visa vingi vya kung’atwa kwa binadamu na wanyama wa kufugwa.
KAMPALA, Oct. 14 (Xinhua) -- The Uganda Amateur Boxing Federation (UABF) has selected 16 boxers who will represent the country at the Africa Zone 3 Boxing Championship. Kenya will host the Zonal ...
QINGDAO, Oct. 11 (Xinhua) -- A new fleet of the Chinese People's Liberation Army Navy set sail from a military port in Qingdao, east China's Shandong Province, on Saturday to take over an escort ...
JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imefanikiwa kusimamia vyema Itifaki ya Soko la Pamoja katika miaka 25 baada ya kuanzishwa ...