Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo wa 14 amelalalamikia mizozo iliyotawaliwa na umwagaji damu inayoendelea duniani na kusema kuwa inahatarisha mustakabali wa ubinadamu. Papa Leo ameeleza ...
Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...
Askofu Mkuu wa Jimbo hilo, Mhashamu Yuda Thaddeaus Ruwa’ichi. Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa msimamo wake rasmi likisisitiza kuwa halina mgogoro wala mvutano wowote na serikali, na ...
Kanisa Katoliki la Kenya limeanzisha aina mpya ya divai ya madhabahuni kwa ajili ya Misa Takatifu baada ya ile ya awali kupatikana kwa wingi katika baa za mitaani. Kinywaji hicho kipya cha ...
Nchini Nigeria, idadi isiyofahamika ya wanafunzi kutoka Shule inayomimilikiwa na Kanisa Katoliki, wametekwa na watu wenye silaha, katikati ya nchi hiyo, ikiwa ni tukio la pili kufanyika wiki hii.
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV ametoa wito siku ya Jumapili, Novemba 23, wa kuachiliwa "mara moja" kwa wanafunzi na walimu zaidi ya 300 waliotekwa nyara na watu wenye silaha kutoka ...
Papa Leo XIV alitolea ufafanuzi hadhi ya Mariamu, mama yake Yesu, katika mafundisho na tamaduni za Kikatoliki katika hati iliyochapishwa wiki iliyopita. Kwa baadhi, ilionekana kwamba mama mtakatifu ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈