Askofu Mkuu wa Jimbo hilo, Mhashamu Yuda Thaddeaus Ruwa’ichi. Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam limetoa msimamo wake rasmi likisisitiza kuwa halina mgogoro wala mvutano wowote na serikali, na ...
Kanisa Katoliki la Kenya limeanzisha aina mpya ya divai ya madhabahuni kwa ajili ya Misa Takatifu baada ya ile ya awali kupatikana kwa wingi katika baa za mitaani. Kinywaji hicho kipya cha ...
Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...
Kwaya ya Mamajusi ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mlima Kilimanjaro (DMK) ni miongoni mwa makundi ya muziki wa injili yaliyodumu kwa zaidi ya miaka 50, ikiwa na historia ya kipekee ya jina na ...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Kwaya Kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kimara wakati ikiimba kwenye Harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha watoto wenye mahitaji ...
DAR ES SALAAM; KWAYA ya Gethsemane Group Kinondoni(GGK) SDA ya jijini Dar es Salaam, imeipua wimbo mpya maalumu kwa ajili ya Harusi ujulikanao kama Ni Siku Yetu. Akizungumza Dar es Salaam, kiongozi wa ...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi, Philip Anyolo. Nairobi. Kanisa Katoliki nchini Kenya limekataa sadaka ya KSh6 milioni (Sh123 milioni) iliyotolewa kwenye ibada ya Jumapili na Rais William ...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini DRC walieleza msimamo wao kufuatia barua ya papa iliyowaidhinisha makasisi kutekeleza baraka rahisi, nje ya liturujia, ya ndoa ya wapenzi wa jinsia moja. Katika ...
Waumini wa Kikristo duniani kote duniani Jumatano wameanza mfungo wa siku 40 wa kipindi cha Kwaresma ambayo ni maandalizi ya kuelekea sikukuu ya Pasaka. Siku ya kwanza ya kuanza kipindi cha Kwaresma ...
Karagwe.Waumini wametakiwa kufuata kanuni za kumuomba Mungu ili waweze kufanikiwa katika maombi yao. Kauli hiyo imetolewa leo Jumapili Mei 02 na Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga , Almachius ...
Takriban watoto wa kiume 547 katika shule ya kwaya ya Wakatoliki Ujerumani waliteswa kingono au kukabiliwa na matumizi mengine ya nguvu kwa kile wahanga walichokilinganisha na "gereza, motoni au kambi ...
Maelezo ya picha, Katika ibada ya kuamkia leo Papa Francis aliwahimiza waumini wasiwapuuze wahamiaji na maskini. 16 Aprili 2017 Maelfu ya mahujaji wamekusanyika Roma kushuhudia Papa Francis akiongoza ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈