Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Dk. Khatibu Kazungu, amesema ajenda ya nishati safi ya kupikia ni ajenda ya dunia, na Tanzania ipo tayari kutekeleza ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiangalia bidhaa mbalimbali za kilimo zilizotokana na bustani wakati wa kilele cha maonesho ya wakulima Nanenane, Nzuguni jijini Dodoma jana. Kulia ni Waziri wa Mifugo na ...