Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Dk. Khatibu Kazungu, amesema ajenda ya nishati safi ya kupikia ni ajenda ya dunia, na Tanzania ipo tayari kutekeleza ...
Trump amesema ushuru huo wa magari na vipuri vya magari yanayoagizwa kutoka nje utarudisha fedha kutoka kwenye nchi za kigeni ambazo zimekuwa zikiipora Marekani nafasi za kazi na utajiri. Rais wa ...
Leo kwenye makala ya kwanza kabisa ya Jukwaa la Michezo mwaka 2025, tumeangazia raundi ya nne hatua ya makundi mechi za Ligi ya vilabu bingwa Afrika. Mwanariadha mkenya Beatrice Chebet avunja rekodi ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2024 amekabidhi magari mapya 10 ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari 88 yaliyonunuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili kuboresha ...
Kati ya vitu vinavyoumiza kichwa changu ni pale linapokuja suala la matumizi ya Serikali. Nashangaa mno, Serikali masikini inayokwama kwenye mambo mengi ya kimaendeleo, inaposhitadi kutenga mabilioni ...
DUNIA ya sayansi na teknolojia, inatamani kila kitu kifanywe na mashine au roboti na mwanadamu, awe pengine anapumzika muda wote. Na sasa teknolojia imeingia kwenye kutengeneza na kuyafanyia majaribio ...
MZUNGUKO wa saba wa mwisho wa mashindano ya magari ya Afrika unaofahamika kama ‘Africa Rally Champion Ship’ Mwaka 2023 yataanza kutimua vumbi kwa siku mbili katika shamba la Asas Matembo, Iringa ...
Kukamatwa kwa kontena nyingine, katika mji wa bandari wa Algeciras nchini Uhispania, kunafuatia matukio mawili ya kukamatwa kwa kontena huko Le Havre (kaskazini-magharibi) na moja huko Las Palmas ...
MAGARI makubwa yanayokatiza nje ya uwanja wa Mkapa yamegeuka kuwa changamoto kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani. Magari hayo yametokea katika bandari kavu ambayo ipo karibu na chuo cha walimu Duce ...
Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.
Baada ya Serikali kuingilia kati ununuzi wa magari ya thamani kubwa unaofanywa na baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri nchini, hatua hiyo imeibua mjadala, huku baadhi ya wachambuzi waliozungumza na ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, athari za janga la virusi vya Corona au COVID-19 zimekuwa mbayá zaidi kwa watoto wenye ulemavu, ambapo mtoto mmoja mkazi wa mji mkuu Kinshasa, ambaye ni ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈