Admirali Giuseppe Cavo Dragone aliliambia gazeti la Financial Times, kwamba NATO ilikuwa inafikiria kuimarisha hatua zake zaidi kwa vita vya Urusi.
Mazungumzo hayo yaliyofanyika Florida, yalihudhuriwa na wajumbe wa Ukraine wakiongozwa na katibu wa baraza la usalama la ...