Beki wa kushoto wa Al Hilal ya Sudan, Khadim Diaw. KLABU ya Simba kwa sasa inapigana kupata saini ya beki wa kushoto wa Al Hilal ya Sudan, Khadim Diaw, raia wa Senegal ili kuwa mbadala wa nahodha wake ...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha Chaumma, Moza Ally amewaomba wananchi wa Kinondoni kumchagua ili akapiganie upatikanaji wa Katiba mpya bungeni. Amesema hayo jana wakati ...