Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kwa Tanzania Bara zitakazotumika kuanzia leo, Novemba 5, 2025. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, ...
Spika mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu SPIKA mpya wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ni mwanasiasa mkongwe na kiongozi mwenye uzoefu ...
DK. MWIGULU Lameck Nchemba ni miongoni mwa viongozi wa kisasa wa Tanzania wanaotambulika kwa umahiri katika taaluma ya uchumi na uongozi wa umma. Alizaliwa Januari 7, 1975 katika kijiji cha Makunda, ...
Bunge la Tanzania limempitisha Mwigulu Lameck Nchemba mbunge wa jimbo la Iramba mkoani Singida, kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasilisha bungeni jina lake ili ...
Dar/mikoani. Dk Mwigulu Nchemba ndiye Waziri Mkuu wa 12 akivaa viatu vya Kassim Majaliwa. Rais Samia Suluhu Hassan amempa jukumu la kuwa Msimamizi wa shughuli za Serikali. Uteuzi wake haukutarajiwa na ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linaendelea kukuza uchumi wa kidijitali kwa kuhakikisha inatoa huduma bora kwa gharama nafuu. Agenda hiyo ambayo pia inaungwa mkono na serikali ...
Bunge la nchi hiyo limempata Spika wake mpya atakayeongoza muhimili huo kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya zoezi la uchaguzi lililofanyika hii leo bungeni jijini Dodoma. Kwenye uchaguzi huo wa ...
KUNA kitu kimefanywa na Yanga kinachoweza kuwa mlima mgumu kwa timu nyingine, iwapo hazitaamua kukomaa ili kuifikia na hata kuivunja. Achana na ile rekodi tamu ya kucheza mechi 49 mfululizo bila ...
Dodoma. Yametimia. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema ukikumbuka utabiri alioutoa aliyekuwa Spika wa Bunge la 12, Dk Tulia Ackson, kwamba wabunge wengi wasingerudi katika Bunge la 13, licha ya nia zao za ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈