BAADA ya wimbo wa Pawa kutoka kwa Mbosso kufanya vizuri kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki, mkali huyo wa kuandika mashairi ya mapenzi ametangaza kuachia remix tatu. Ngoma hiyo inapatikana kwenye EP ...