27 Februari 2020 Matatu ni usafiri wa Umma mjini Nairobi ambao mabasi yake yana muonekano wa aina yake kwa kuwa na michoro ya picha za kuvutia na muziki mkubwa. Katika picha hiyo, hilo ni jengo la ...
Mamlaka za jiji la Nairobi zimeanza kutekeleza sheria inayopiga marufuku magari ya usafiri wa umma maarufu kama matatu kuingia katikati ya jiji kuanzia leo. Hatua hiyo, kwa mujibu wa mamlaka ...