Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya (IEBC), Wafula Chebukati, amefariki dunia jana katika hospitali ya Nairobi alikokuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi.
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa Mike Waltz anasema Marekani "imesitisha" kushirikisha taarifa za kijasusi na Ukraine.
Mashindano ya tenisi ya bara Afrika ya vijana chini ya umri wa miaka 14, yaliyofanyika jijini Nairobi nchini Kenya wiki hii, ...
Ilidaiwa na mdai kuwa baada ya kununua, alikaa katika nyumba kuanzia 1973 hadi 1976 alipohamia Nairobi kuungana na mumewe, na kuacha nyumba chini ya ulinzi wa rafiki yake, Pucharis Kashaija.
Mashirika kadhaa ya kilimo pamoja na serikali ya Kenya yaliwakutanisha wadau wa kilimo—wakulima, wataalamu wa mabadiliko ya tabianchi, na watunga sera—jijini Nairobi mwezi Novemba mwaka uliopita.
Mabasi matatu matupu yamelipuka kwenye eneo la kusini ... tumekubaliana kusitisha mchakato wa Nairobi hadi Machi 2025 ili kutoa nafasi kwa mashauriano yatakayosaidia kuamua njia ya mbele ...
Mwanaspoti limekuchambulia mambo matatu yanayomfanya Chama asugue benchi Yanga akionekana mchezaji wa kawaida wakati alipotoka Simba alikuwa mchezaji tegemeo na supastaa. Tangu Chama atambulishwe ...
Haya hapa mambo matatu yaliyoifanya Stars kuvuka raundi ya pili. Ubora wa kikosi cha Stars ulichangia kwa kiasi kikubwa kufanikisha ushindi wa timu hiyo inasakata rekodi nyingine ya kufuzu WAFCON.