NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Abdallah Shaibu 'Ninja' amesema mapigano yanayoendelea Goma, DRC Congo yamesitisha mazungumzo na kati yake na klabu ya Tanganyika FC.
KOCHA anayefundisha mazoezi binafsi, Mohammed Mrishona maarufu kama 'Xavi' amefichua kile anachokifanya kiungo mshambuliaji ...