Serikali ya Tanzania, imedai kuwa maandamano yaliyosababisha maafa mabaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya taifa ...
Kanisa Katoliki nchini Tanzania ni miongoni mwa taasisi zilizo mstari wa mbele katika kuzungumzia masuala ya kiraia, kisiasa na kijamii. Wakati nyakati zingine jukumu hili hufanywa kupitia mwamvuli ...