RAPA maarufu, Offset amevunja ukimya kuhusu uvumi unaomhusisha na msanii Saweetie, akikanusha vikali madai kuwa aliwahi kuwa ...
NYOTA wa filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel, amebadili dini kutoka Ukristo na kuwa Muislam baada ya kuolewa na msanii wa ...
Dar es Salaam. Msanii wa Bongo Fleva, Zuchu amewashukuru wote waliosimama nae na kupaza sauti kuhusu malipo ya shoo yake katika Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) ...
MTANDAONI: MSANII nyota wa Bongo Fleva, Faustina Mfinanga maarufu kama Nandy, amevunja ukimya kufuatia tetesi za mgogoro katika ndoa yake na William Lyimo ‘Billnass’. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ...
DAR ES SALAAM: Msanii wa Muziki na Maigizo, Agness Suleiman Kahamba maarufu kama ‘Aggybaby’ amepokea Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 kutoka Achievers Awards International ya nchini ...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nandy, akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea Banda la Made in Tanzania kwenye maonesho ya 49 ya DITF. Msanii maarufu wa kizazi kipya, Faustine Mfinanga ...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na Meneja ...