KAMA kuna mashabiki waliinjoi leo kwa Mkapa basi ni kushuhudia shoo ya Mwimbaji wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuph Kirungi maarufu kama Mbosso. Kama kuna tuzo zingetolewa za 'man of the show' msanii huyo ...
Dar es Salaam. Safari ya kukamilisha ndoto ya Mfalme wa Rhymes, rapa mkongwe, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ilianza wiki iliyopita Agosti 5, baada ya tukio la kipekee la kumvisha pete ya uchumba mpenzi ...
BURUDANI tamu kupitia pambano la Mtibwa Sugar na Simba lililopigwa lwenye Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro ilitibuliwa na matope yaliyojaa uwanjani hapo, huku zikishuhudiwa timu hizo ...
'Baada ya kuandika toleo la kwanza la ABC za Uchumi wa Kisiasa mnamo 2002 kulikuja "haraka" ya utetezi: Nilionya kuhusu uwezekano wa hatari wa kufanya mfumo huria wa kifedha. Lakini je, kuna yeyote ...