Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa uwaziri katika Baraza la mawaziri la Tanzania, Tabitha Siwale amefariki dunia akiwa na ...
Ujenzi wa daraja la Pangani linalounganisha barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo umekamilika kwa asilimia 38 imeelezwa.
KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imelipongeza Shirika la Reli Nchini (TRC) kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa reli ya ...
Usawa wa Kijinsia Tanzania: Safari ya Beijing hadi sasa Mchango wa Gertrude Mongella Gertrude Mongella, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Mkutano wa Beijing, alisema kuwa kushiriki kwake kwenye mkutano huo ...
WAIMBAJI wa Bongofleva, Abigail Chams na Harmonize wanaendeleza ushirikiano wao wa kikazi wa muda mrefu na sasa wamekuja na ...
LEO tukiwauliza wasomaji wetu ni wangapi walimwona Zinedine Zidane akichezea timu ya taifa ya Ufaransa na kuchukua Kombe la ...
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) kwa ushirikiano wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) wameandaa mafunzo ya Soka la Ufukweni(Beach ...