WAKATI akiwa anaendelea kukiongoza kikosi chake na michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids, ...
"Tumefanyia kazi mambo mbalimbali, kila unapofanya mazoezi, unapata nafasi ya kuelekeza mbinu mpya, tuseme mapumziko ya ligi yamekuwa na tafsiri chanya upande wetu, yametusaidia kujiimarisha, sasa ...
Miaka kumi iliyopita, maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi yalitambua ukweli wa kimsingi; ushiriki wa wanawake ni muhimu kwa ajili ya kujenga ulimwengu ...