KUKOSOA juhudi za kuwawezesha watoto wa kike kwa madai kuwa zinalenga kufanya mapinduzi ya kufanikisha wanawake kutawala wanaume kunaanza kusikika. Ni maoni yanayosikika miongoni mwa wanaopinga haraka ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limealaani vikali shambulio dhidi ya hospitali ya Saudi El Fasher Kaskazini Darfur lilikokatili Maisha ya watu wakiwemo watoto na kujeruhi ...
Kampeni ya Kitaifa ya Msaada ya Kisheria ya Mama Samia imefanikiwa kutoa suluhu ya kudumu kwa takribani migogoro 1,505 kati ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema watoto wawili waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha wakiwa na mfanyakazi wa ndani siku tano zilizopita wamepatikana. Imeelezwa katika taarifa ya polisi ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maandalizi ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuharakisha upatikanaji umeme kwa Waafrika milioni 300 ...
Arusha. Viongozi wa Serikali za mitaa, wakiwemo wenyeviti katika Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, wamepewa jukumu la kufanya msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini na kutoa taarifa za watoto wote wenye ...
DADA wa kazi aliye fahamika kwa jina moja la Neema (35) anatuhumiwa kutoweka kus ikojulikana na watoto wawili wenye umri wa miaka mitatu na minne kutoka nyumbani kwa mwajiri wake, Hawa Suleiman.
Mtoto yeyote aliyezaliwa akiwa na uzito zaidi ya kilo 4 , bila kujali umri wa ujauzito, anachukuliwa kuwa mtoto aliyezidi uzito. Watoto wenye uzito mkubwa zaidi huwa takriban 12% ya watoto ...
Jennifer,Hertfordshire. Nina watoto wawili wa kiume na ninawapenda sana hadi uchovu unapoingia na kelele za kila siku zikionekana kuisha. Nilikuwa mvumilivu na kiali yangu ilikuwa kamili ...