Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump umetangaza vikwazo vikubwa dhidi ya makampuni mawili makubwa zaidi ya mafuta yaliyo chini ya serikali ya Urusi. Vikwazo hivyo dhidi ya Urusi vimewekwa huku ...
Hali hiyo inajirudia Madagascar: jeshi limedai siku ya Jumanne "kuchukuwa mamlaka," na kumaliza vyema utawala wa Andry Rajoelina, ambaye aliingia madarakani kwa mara ya kwanza mwaka 2009 chini ya ...
María Corina Machado amezaliwa 7 Oktoba 1967 ni mwanasiasa wa Venezuela na mhandisi wa viwanda. Machado ni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Venezuela na aliwahi kuwa mbunge katika Bunge la ...
Jeshi la wanamaji la Israel limekamata meli zilizokuwa zimebeba misaada kuelekea Gaza na kuwaweka kizuizini wanaharakati waliokuwa ndani, akiwemo mwanaharakati wa hali ya hewa wa Sweden Greta Thunberg ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema idadi ya watalii wa kimataifa wanaofika nchini imeongezeka kwa asilimia 132.1. Ongezeko hilo ni kutoka watalii 922,692 mwaka 2021 hadi kufikia watalii ...
Bunda. Zaidi ya mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya Sh20 milioni inayodaiwa kuibiwa katika mradi wa ujenzi wa shule ya wasichana ya Mkoa wa Mara, imepatikana ikiwa imehifadhiwa katika ...
Kamishina wa Mipango ya kitaifa katika Wizara ya Fedha na Mipango ambaye , Dk Mursali Milanzi WIZARA ya Fedha na Mipango imesema katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, taifa litawekeza nguvu kujenga ...
什么是kgma格式?kgma可以在MP3上播放吗?kgma格式怎么转为mp3格式?相信很多使用酷狗音乐的小伙伴都非常关心这些问题。 kgma格式是酷狗音乐开通VIP后订阅后会员下载后的音乐存储格式,默认情况下只有酷狗音乐可以打开它。想知道如何将其转换为MP3格式吗?
Umesalia mwaka mmoja tu Ujerumani kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Ulaya na timu ya taifa inaonekana kuyumba chini ya uongozi wa kocha Hansi Flick. Ijumaa katika mechi ya kirafiki, Ujerumani ...