JUMATATU ijayo Oktoba 14, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, anatimiza miaka 25 tangu kufariki dunia, licha ya kutwaliwa, ameacha hazina ya tunu ambazo haziwezi kuchakaa au kumaliza muda wa matumizi.
NI siku 162 za Paul Makonda kushika nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambazo alizitumia kufanya ziara kwenye mikoa mbalimbali nchini, kutoa matamko mazito na ...