Upanuzi wa shughuli za uchimbaji uliofanyika katika eneo la Porcupine North umeongeza uhai wa Mgodi wa Shanta Gold- New Luika kwa miaka mitano zaidi kutoka mwaka 2029 kufikia 2034. Aidha, kupitia ...
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita, ili kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu ...