Upanuzi wa shughuli za uchimbaji uliofanyika katika eneo la Porcupine North umeongeza uhai wa Mgodi wa Shanta Gold- New Luika kwa miaka mitano zaidi kutoka mwaka 2029 kufikia 2034. Aidha, kupitia ...
MGODI wa Barrick North Mara umetoa leseni 13 na kufadhili mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waendeshe shughuli za uchimbaji. Mgodi huo uliopo Nyamongo wilayani Tarime umetoa leseni hizo ikiwa ni ...
Serikali imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa ulipaji fidia kwa wananchi wa Mitaa ya Nyakabale na Nyamalembo katika Halmashauri ya Manispaa ya Geita, ili kupisha shughuli za uchimbaji wa dhahabu ...
MKOA wa Mara umeendelea kunufaika na uwekezaji wa Sekta ya Madini baada ya kutekeleza zaidi ya miradi 398 ya maendeleo yenye thamani ya Sh Bilioni 33.81 katika wilaya zote ndani ya kipindi cha miaka ...
Mgodi waporomoka Kongo watu kadhaa wauwawa Watu kadhaa wameuwawa na wengine wanahofiwa kukwama chini ya ardhi nchini Kongo baada ya mgodi kuporomoka. Migogoro23.07.2025 02:58 dakika ...
Angalau watu thelathini walifariki bada ya kuporomoka kwa daraja katika eneo la madini la Kalando, yapata kilomita arobaini kutoka Kolwezi, katika mkoa wa Lualaba, nchini DRC. Tukio hilo lilitokea ...
Mohamed Hamdan Dagolo, anayefahamika kama "Hemedti", ameibuka kuwa kiungo muhimu katika jukwa la kisiasa la Sudan, kikosi chake cha Rapid Support Forces (RSF) sasa kikiongoza nusu ya nchi hiyo. RSF ...
Tovuti kadhaa za serikali hazikuweza kufikiwa kwa muda kutokana na kushambuliwa na washukiwa wanaojitambulisha kama PCP@Kenya. Na Lizzy Masinga $ Asha Juma Chanzo cha picha, Mitandao ya kijamii ...
Vikosi vya Urusi vinasonga mbele ndani ya mji wa Pokrovsk mashariki mwa Ukraine na kuharibu mifumo ya kijeshi iliyoundwa na vikosi vya Ukraine pamoja na kuzuia juhudi za Ukraine kujitoa kwenye eneo ...