Mahenge, eneo lililopo mkoani Morogoro, Wilaya ya Ulanga limeendelea kujipatia umaarufu mkubwa duniani kutokana na madini adimu ya vito aina Spineli, hali ambayo sasa inaliweka eneo hilo katika ramani ...
Wachimbaji Wadogo wa Madini wa Mkoa wa Simiyu wameiomba Serikali pamoja na taasisi za kifedha kuwaunga mkono kwa kuwapatia umeme wa kudumu na mikopo yenye masharti nafuu, wakisema changamoto hizo ...
Angalau watu thelathini walifariki bada ya kuporomoka kwa daraja katika eneo la madini la Kalando, yapata kilomita arobaini kutoka Kolwezi, katika mkoa wa Lualaba, nchini DRC. Tukio hilo lilitokea ...
MGODI wa Barrick North Mara umetoa leseni 13 na kufadhili mafunzo kwa wachimbaji wadogo ili waendeshe shughuli za uchimbaji. Mgodi huo uliopo Nyamongo wilayani Tarime umetoa leseni hizo ikiwa ni ...
MKOA wa Mara umeendelea kunufaika na uwekezaji wa Sekta ya Madini baada ya kutekeleza zaidi ya miradi 398 ya maendeleo yenye thamani ya Sh Bilioni 33.81 katika wilaya zote ndani ya kipindi cha miaka ...
Mgodi waporomoka Kongo watu kadhaa wauwawa Watu kadhaa wameuwawa na wengine wanahofiwa kukwama chini ya ardhi nchini Kongo baada ya mgodi kuporomoka. Migogoro23.07.2025 02:58 dakika ...
Vikosi vya Urusi vinasonga mbele ndani ya mji wa Pokrovsk mashariki mwa Ukraine na kuharibu mifumo ya kijeshi iliyoundwa na vikosi vya Ukraine pamoja na kuzuia juhudi za Ukraine kujitoa kwenye eneo ...