DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
Taasisi ya Uhusiano wa Umma Tanzania (IPRT) imesaini makubaliano na Msajili wa Hazina Zanzibar kwa ajili ya uratibu wa pamoja katika kuandaa tuzo za umahiri katika mawasiliano ya umma Zanzibar yaani ...
Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ...
Machi 17, 2025 imetimia miaka minne tangu John Pombe Magufuli, rais wa tano wa Tanzania afariki dunia. Alikuwa mmoja ya ...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema pazia la Uchaguzi Mkuu 2025, likifunguliwa vijana wanaojiona wanasifa wajitokeze kwenye kinyang'anyiro kugombea nafasi ya udiwani na ubunge bila ...
CHAMA cha ACT Wazalendo, kimesema kimeshangazwa na kauli aliyoitoa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen ...