Siku chache baada ya kusambaa kwa video inayowaonyesha kuwa Diamond na Zuchu wamefunga ndoa, mama mzazi wa Zuchu, Khadija Kopa, amekataa kuzungumzia ndoa hiyo. Nipashe Digital ilimpigia simu malkia ...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka mikakati thabiti itakayoliwezesha shirika kujenga nyumba za gharama nafuu ambazo ...