WIKI hii Zuchu, staa wa Bongofleva kutokea WCB Wasafi ameweka rekodi nyingine kubwa kupitia muziki mara baada ya video zake ...
Dar es Salaam. Ndilo swali la wengi baada ya kuwekwa wazi kuwa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa msimu wa 2024, zinatarajiwa kufanyika mnamo Desemba 13 mwaka huu, ukiwa ni msimu wa nne tangu zirejee.
BADO muziki wa Bongofleva unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki na Kati kutokana na ukweli kwamba mataifa mengi ya ukanda huu yanazungumza lugha ya Kiswahili ambayo inatumika zaidi katika muziki ...