ZAIDI ya nyumba 15 zenye wakazi zaidi ya 30 katika Kijiji cha Moya Mayoka, kata ya Magara, wilayani Babati, mkoani Manyara, zimezingirwa na mawe na tope lililoshuka kutoka Mlima Magara na kusababisha ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemtembelea mama mjane Alice Haule, ambaye anadaiwa kufukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi maeneo ya Mikocheni, nyumba inayodaiwa kuwa sehemu ya ...