"KUOA tunaona lakini tukumbuke yaliyotendeka kwa George Mukabi, George alipooa bibi akakimbia, kwa kumfuata akauawa bure. Wazazi wa Mukabi walipata hasara, kupoteza mali na mtoto wao, wale ambao ...
WAKATI mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Zuchu, amezidi kuonesha hasira zake kwa kutishia kuwaburuza mahakamani watangazaji wa Wasafi, bosi na mpenzi wake Diamond Platnumz, ameonekana kuziba masikio ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwnyi wiki hii anatarajiwa kuzindua uuzaji wa nyumba za Shirika la Nyumba Zanzibar zilizopo Kisakasaka, Wilaya ya Magharibi B kisiwani ...
BADO muziki wa Bongofleva unaendelea kufanya vizuri Afrika Mashariki na Kati kutokana na ukweli kwamba mataifa mengi ya ukanda huu yanazungumza lugha ya Kiswahili ambayo inatumika zaidi katika muziki ...
Kwa zaidi ya miaka 40, Ivanil ameishi katika nyumba iliyoinuliwa kwa nguzo, umbali wa mita 20 tu kutoka kando ya maji, katika jamii ile ile aliyo zaliwa, kwenye Kisiwa cha Marajó ambako mto Amazon ...
Chaguzi ndogo zitakazofanyika tarehe 27 mwezi huu zinatarajiwa kuwa mchuano wa kihistoria kwa Rais William Ruto, akiwa katika harakati za kuhakikisha ana nafasi bora ya muhula wa pili mwaka 2027.
Nchi mbalimbali zinajitahidi kuwasilisha malengo mapya ya hali ya hewa kwa mwaka 2035. Hata hivyo, licha ya hatua zinazopigwa, bado kuna wasiwasi kwamba kasi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi ...