Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kusaini agizo la kuiondoa nchi hiyo katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku chache ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) linaonesha wasiwasi mkubwa kuhusu athari za kusitishwa kwa ufadhili wa mara moja kwa programu za HIV katika nchi za kipato cha chini na cha kati. Programu hizi hutoa ...