Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), kwa kushirikiana na Crown Media imezindua jukwaa la tano la The Citizen Rising Woman Initiative 2025.