Waziri wa zamani wa Kenya Raila Odinga amesema anataka kukubali kwake kushindwa kwenye uchaguzi wa AUC itumiwe kama mfano ...
Kushindwa kwa Raila Odinga katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) kunaibua swali kubwa: ...
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Afrika (AUC), unaomalizika hivi karibuni umeendelea kuonyesha namna uhusiano ulioanzishwa ...
Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahmoud Ali Youssouf alichaguliwa na wakuu wa mataifa ya Afrika Februari 15 2025, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika na kumshinda mwanasiasa mkongwe ...
MWENYEKITI mpya wa Umoja wa Afrika (AU) Rais wa Angola, João Lourenço ameelezea umuhimu wa kuendelea na umoja huo akisisitiza ...
Wakati AFC/M23, wakiungwa mkono na jeshi la Rwanda, wakiingia Bukavu mwishoni mwa juma hili , wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika walikuwa wakikutana mjini Addis Ababa kwa mkutano wao wa kila mwaka. Mzoz ...