UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Afrika (AUC), unaomalizika hivi karibuni umeendelea kuonyesha namna uhusiano ulioanzishwa ...
Sera ya Kimataifa ya Kenya na kauli za Rais William Ruto zimetajwa kuwa mzigo mzito uliomharibia mgombea wa nchi hiyo, Raila ...
Kushindwa kwa Raila Odinga katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) kunaibua swali kubwa: ...
Kuingia kwenye siasa za Afrika kupitia uchaguzi wa AUC, kunaonekana na baadhi kama kutamuongezea nguvu kwenye siasa za Kenya, ...
Waziri wa zamani wa Kenya Raila Odinga amesema anataka kukubali kwake kushindwa kwenye uchaguzi wa AUC itumiwe kama mfano ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibout, Mahmoud Youssouf, ‘Reuters’Raila Odinga wa Kenya na Richard Randriamandrato Madagascar.
Zimesalia saa chache tu, ambapo bara la Afrika na hususan mgombea kutoka Kenya, Raila Odinga kujua hatima yake ikiwa atakuwa mrithi wa Moussa Faki Mahamat kama mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (A ...
Baraza la usalama la umoja wa Afrika limekutana jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili mzozo unaoendelea nchini Sudan na ...
Mwaka 2017, Amina Mohamed wa Kenya alipata kura 16 katika duru ya kwanza dhidi ya kura 14 za Moussa Faki, huku kura ...