Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
New York. Jiji la New York limemchagua Zohran Kwame Mamdani (34), mzaliwa wa Kampala nchini Uganda, kuwa meya mpya wa jiji hilo, hatua inayoweka rekodi ya kihistoria katika medani za kisiasa na ...
Vurugu zilizotokea nchini siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba 29, 2025 zimeacha alama nzito katika historia ya Tanzania. Maisha ya watu yamepotea, wengine wamejeruhiwa, mali za umma na za binafsi ...
Dar es Salaam. Benki ya Diamond Trust (DTB) imeweka mikakati ya kupanda miti milioni moja hadi ifikapo mwaka 2030. Tayari benki hiyo imeshapanda miti 150,000 kupitia ushirikiano na wadau mbalimbali, ...
Katikati ya milima na mandhari tulivu ya Wilaya ya Babati Vijijini, Mkoa wa Manyara, mwaka 1956, 1956 alizaliwa kiongozi ambaye sasa amekuwa miongoni mwa viongozi wanaotambulika kwa uthubutu na ...
Dar es Salaam. Idadi ya wagonjwa wa kisukari duniani imepanda kwa kasi isiyokuwa ya kawaida, ikifikia zaidi ya watu milioni 800 mwaka huu, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya mara nne ikilinganishwa na ...
Nigera. Kwa muda mrefu kumekuwa na dhana kwamba wasanii wengi wa muziki hawana elimu ya juu, na kwamba vipaji ndio vinawabeba na kuwakutanisha na watu wakubwa lakini watu hao hao wanasahau kuwa ...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwamo Makamu Mwenyekiti - Bara, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika, wamepangua shauri la madai ya kuidharau Mahakama lililokuwa ...
Dar es Salaam. Baada ya kusogezwa mbele kwa ratiba ya kufungua taasisi za elimu ya juu kufuatia vurugu zilizotokea Oktoba 29, Serikali hatimaye imetangaza tarehe mpya ya kurejea vyuoni kwa wanafunzi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga akizungumza na madereva bodabda wilaya ya Njombe katika viwanja wa polisi wilaya ya Njombe mkoani hapa. Seif Jumanne Wakati Serikali ikiwataka ...
Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na wenzake wengine watano, ambao ni wajibu maombi katika shauri la maombi ya kushikiliwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈