Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Mkutano ...
Dar es Salaam. Wakati Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) likitarajiwa kupitisha azimio lake leo Novemba 27, 2025 la kuzuia fedha zilizopangwa kutolewa kwa Tanzania mwaka 2026, Serikali imeeleza kwamba ...
Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kughushi vibali vya kumiliki silaha inayowakabili watu tisa wakiwemo maofisa sita wa Jeshi la Polisi, umekamilika. Wakili wa Serikali, Roida Mwakamele leo Jumatatu ...
Dar es Salaam. Benki ya Diamond Trust (DTB) imeweka mikakati ya kupanda miti milioni moja hadi ifikapo mwaka 2030. Tayari benki hiyo imeshapanda miti 150,000 kupitia ushirikiano na wadau mbalimbali, ...
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Mahamoud Banga akizungumza na madereva bodabda wilaya ya Njombe katika viwanja wa polisi wilaya ya Njombe mkoani hapa. Seif Jumanne Wakati Serikali ikiwataka ...
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba. Kichapo cha mabao 4-3 ambacho timu ya Taifa ...
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiwamo Makamu Mwenyekiti - Bara, John Heche na Katibu Mkuu, John Mnyika, wamepangua shauri la madai ya kuidharau Mahakama lililokuwa ...
Mara nyingi unapotembelea tovuti kwa mara ya kwanza, basi utakutana na ujumbe unaosema “Accept cookies”. Kwa lugha rahisi, hii ni ruhusa ambayo tovuti inaomba ili iweze kuhifadhi taarifa zake ndogo ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC), Dk Godwill Kivuyo,akikabidhiana hati ya makubaliano na Mwakilishi wa Wajumbe wa Bodi ya Taasisi ya Afya ya Mtoto Afrika (ICHA ...
Wakati Serikali ikiwataka wanaotafuta ndugu zao kufika vituo vya polisi, baadhi ya Watanzania, wakiwamo wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wameendelea kuzunguka vituo mbalimbali vya polisi... Wakili ...
Dar es Salaam. Wakati utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa Watanzania wanne kati ya watano ifikapo mwaka 2034 ukiendelea imeelezwa mawasiliano ni dira muhimu kufanikisha ...
Dar es Salaam. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri kuanzia sasa, wachambuzi wameiangazia nafasi ya waziri wa fedha huku wakiainisha mambo anayotakiwa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈