Shirika la kupambana na matatizo ya Moyo Marekani (AHA) limetumia nyimbo za wasanii kama Kendrick Lamar na Beyonce ili kuhamasisha umma mbinu za kuokoa maisha ya watu kupitia huduma ya kwanza ...