KOCHA Fadlu Davids ameshindwa kuifikia rekodi ya Patrick Aussems ya kushinda mechi 11 mfululizo za Ligi Kuu baada ya jioni ya jana kulazimishwa sare ya 1-1 na Fountain Gate iliyomaliza ...
Sare ya bao 1-1 imeifanya Simba kushindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 44, moja nyuma ya vinara Yanga yenye 45.
MASTAA wa Real Madrid, Luka Modric na Vinicius Jr wanadaiwa kuingia kwenye mvutano baada ya Luka mwenye umri wa miaka 39, kukasirishwa na kitendo cha Vini kutoisaidia timu katika kukaba ...
KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Namungo kutoka kwa Tabora United, kimemuamsha Kocha Juma Mgunda aliyesema ameona mwanga ambao akirekebisha kidogo tu mambo yatakuwa matamu kwa Wauaji hao wa Kusini.