WAUZAJI dawa za kulevya wamebadili mbinu, wakiibuka na njia mpya, zikiwamo za medani za kivita, ili kukwepa kukamatwa, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imethibitisha. Kwa ...
NI mazoea kununua dawa kiholela kuanzia ‘flajili’ unaposikia tumbo linauma au kuhara na ‘antibayotiki’ kubwa kama ‘amoksilini na azuma’ hata bila kumwona daktari. Mtindo uliozoeleka, ni kwenda kwenye ...
Kenya, Tanzania, Musumbiji na Afrika Kusini, yameorodheshwa kuwa kitovu cha usambazaji wa dawa za kulevya aina ya Heroin kwenye masoko ya kimataifa kutokana na uwepo wa bahari hindi ambalo hutumika ...
紧凑纳秒激光器-Dawa-镭宝由北京镭宝光电技术有限公司提供,产地为北京,属于国产激光产品,符合多项国家和国际分析标准 ...
Kuibuka kwa dawa mpya za kulevya za kutengenezwa na rekodi ya usambazaji na mahitaji ya dawa zingine kumeongeza athari za dawa hizo ulimwenguni, na kusababisha kuongezeka kwa shida za utumiaji wa dawa ...
Dunia yetu inakabiliwa na idadi kubwa ya watu wanaokumbwa na magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya dawa za kulevya, halikadhalika idadi kubwa zaidi ya vifo vitokanavyo na matumizi ya dawa hizo, ...
KAIMU Mkurugenzi Udhibiti wa Dawa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Dk Yonah Mwalwisi amesema miongoni mwa madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume kiholela ni kusababisha maumivu ...
Singapore imemyonga mwanamke mmoja kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya, hiki kikiwa ni kisa cha kwanza katika kipindi cha takriban miaka 20. Saridewi Djamani mwenye umri wa miaka 45 amenyongwa ...
USUGU wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa za anatibiotiki ni tatizo linalotokana na watumiaji kutokuzingatia matumizi sahihi kama inavyoelekezwa na wataalmu. Matumizi yasiyo sahihi ya dawa ...
STRAIKA wa Yanga, Fiston Mayele bado yupo mapumzikoni DR Congo, lakini ametuma salamu kwa Simba akiwaambia kwamba ameipata dawa yao na ataionyesha kwenye mechi ya Ngao ya Jamii itakayopigwa Agosti 13 ...
You will be redirected to the new site in 20 seconds. If the redirection doesn't occur automatically, please click the link above. Pia katika toleo hili ...