Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Dk. Khatibu Kazungu, amesema ajenda ya nishati safi ya kupikia ni ajenda ya dunia, na Tanzania ipo tayari kutekeleza ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 26, 2024 amekabidhi magari mapya 10 ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari 88 yaliyonunuliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili kuboresha ...
DUNIA ya sayansi na teknolojia, inatamani kila kitu kifanywe na mashine au roboti na mwanadamu, awe pengine anapumzika muda wote. Na sasa teknolojia imeingia kwenye kutengeneza na kuyafanyia majaribio ...
MZUNGUKO wa saba wa mwisho wa mashindano ya magari ya Afrika unaofahamika kama ‘Africa Rally Champion Ship’ Mwaka 2023 yataanza kutimua vumbi kwa siku mbili katika shamba la Asas Matembo, Iringa ...
MAGARI makubwa yanayokatiza nje ya uwanja wa Mkapa yamegeuka kuwa changamoto kwa mashabiki waliojitokeza uwanjani. Magari hayo yametokea katika bandari kavu ambayo ipo karibu na chuo cha walimu Duce ...
Kenya imetangaza kuwa kuanzia Januari mosi mwaka 2022, waagizaji wa magari kutokea nje na wauzaji watalazimika kufuata sheria mpya. Magari yaliyosajiliwa kwa mara ya kwanza kabla ya mwaka 2014 ...
Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.
Baada ya Serikali kuingilia kati ununuzi wa magari ya thamani kubwa unaofanywa na baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri nchini, hatua hiyo imeibua mjadala, huku baadhi ya wachambuzi waliozungumza na ...
Kila mwaka wachezaji wamekuwa wakipewa aina mpya za magari huku Audi ikiuza magari ambayo wanayarudisha kwa watu wengine. Katika kikosi cha sasa cha Barcelona, kiungo mkabaji, Sergio Busquets ndiye ...
Wanaonunua magari hayo hupata unafuu kama wa kuegesha magari bure, kuyachaji bure katika maeneo ya maegesho na hawalipishwi kodi za halmashauri. Kwa mara ya kwanza idadi ya magari ya umeme imekuwa ...
Mkutano wa 24 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi nchi, COP24 ukiendelea huko Katowice, Poland, suala la kutumia magari yatumiayo nishati ya umeme ili kupunguza mchango wa sekta ya ...