Mkurugenzi wa MNH, Prof.Mohammed Janabi (WA kwanza kushoto) akipokea maelezo ya machine hiyo mpya ya kisasa ya uchubguzi wa saratani ya matiti. HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imezindua mashine ...
MHITIMU wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoa wa Arusha, George Nyahende, amebuni mashine ya kutunza watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao yaani njiti. Akizungumza na Nipashe Digital hili leo kwenye ...