MHITIMU wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Mkoa wa Arusha, George Nyahende, amebuni mashine ya kutunza watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao yaani njiti. Akizungumza na Nipashe Digital hili leo kwenye ...
ILI kupunguza gharama za matibabu ya kusafisha figo nchini, Serikali imesambaza mashine zaidi ya 100 pamoja na vitendanishi vyake katika hospitali za rufaa za mikoa mbalimbali nchini. Taarifa hiyo ...
LONDON, ENGLAND: MAISHA yanakwenda kasi sana. Kwenye viwanja vya mazoezi ya mchezo wa soka teknolojia imeshika hatamu. Mambo yamebadilika, kutoka mazoezi ya makipa kupigiwa mashuti na wachezaji wenzao ...
Dar es Salaam. Ili kukabiliana na gharama kubwa ya huduma ya dialisisi kwa wagonjwa wa figo, Serikali imeingiza nchini mashine mpya aina ya SWS 6000 ambazo zimewezesha zishuke kutoka Sh250,000 mpaka ...
Kuanzisha miradi yako ya kujifunza mashine kwa kutambulisha muundo rahisi wa msingi sio tu hatua ya awali. Ni mkakati. Mkakati unaolingana na mbinu za Agile zinazokuza ufanisi, utendakazi, na ...
Mtaalamu wa lugha na uandishi Reuven Koret alijadili kwa kina hali ya ushawishi na matumizi ya akili bandia katika kutafsiri kwa uchapishaji wa mtandaoni. andika. Koret anadokeza kwamba matumizi ya ...
TEKNOLOJIA ya mashine ya kukaushia muhogo shambani imewarahisishia wauzaji wa unga unaotokana na zao hilo kupata malighafi kwa urahisi na iliyo safi. Mkulima wa muhogo Chalinze mkoani Pwani, Gozbart ...
Ulimwengu wa akili bandia (AI) unakua kwa kasi, huku ujifunzaji wa mashine ukichukua jukumu muhimu katika kuleta uhai wa mifumo mahiri. Kama matokeo, wahandisi wa kujifunza mashine wanahitajika sana ...
Mamia ya wanawake nchini Tanzania wameanza kunufaika na upatikanaji wa huduma bora zaidi za saratani ya shingo ya kizazi baada ya kufungwa kwa mashine za kuimarisha kiwango cha juu cha dozi HDR katika ...
Bila shaka umewahi kutafuta maneno ya Kiswahili na kuhitaji kusikia linavyotamkwa lakini kwa kuwa mashine haijafundishwa kutamka maneno ya Kiswahili inaweza kukwambia kwa lahaja ambayo bado usiweze ...
George Nyahende, raia wa Tanzania amebuni na kutengeneza mashine ya oksijeni ambayo ina sifa za kipekee ambazo anasema zinatokana na mazingira hususani ya vijiji vya Tanzania. Kupitia katika mahojiano ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果
反馈